Mwanamke Ajifungua Hadharani Nje Ya Spitali Ya Maralal

Mwanamke ajifungua hadharani nje ya spitali ya Maralal

Download Dengan Cepat

Name:Mwanamke ajifungua hadharani nje ya spitali ya Maralal
Genre:Unknown
Date:19 November 2015
Duration:00:02:52
View:105.2K
Like:82
Dis Like:17
Type:Youtube to Mp3
Bitrate:128kbps
User:KBC Channel 1
Source:Youtube

Kwa mara nyingine, utaalamu wa maafisa wa matibabu katika hospitali za umma zilizoko kwenye kaunti umetilwa shaka huku ikidaiwa kuwa mwanamke alijifungua hadharani nje ya hospitali ya matibabu maalum ya Maralal baada ya madaktari na wauguzi kusisitiza afanyiwe upasuaji wa dharura. Mwanamke huyo alikataa kufanyiwa upasuaji huo baada ya mwanamke mwingine kudaiwa kufariki katika hospitali hiyo alpofanyiwa upasuaji na wauguzi.
Connect with KBC Online;
Visit our Website - http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter - https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook - https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram - https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour


Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Google+

Related Posts: