Mizengwe Mstaafu

MIZENGWE- MSTAAFU

Download Dengan Cepat

Name:MIZENGWE- MSTAAFU
Genre:Unknown
Date:30 June 2016
Duration:00:20:45
View:71.8K
Like:214
Dis Like:52
Type:Youtube to Mp3
Bitrate:128kbps
User:ITV Tanzania
Source:Youtube

Mzee Matata ni mstaafu, anawatoto wawili ambao ni wakubwa wanaojitegemea Safina na Mkwele, lakini bado wamekuwa tegemezi kwa Baba yao mstaafu ambae nae pamoja na ustaafu wake hakuwahi kujenga bado anaishi katika nyumba aliyowekwa na rafiki yake kwa miaka mingi ili aiangalie, baada ya kustaafu alipata mafao yake na stahiki zake zote, lakini watoto wake walimlaghai kwa kwenda kumkopa na mwishowake kushindwa kujenga na kuendelea kuishi katika nyumba aliyowekwa, mwisho wa siku mwenyenyumba anagundua kuwa Matata amestaafu na kuamua kwenda kumwambia ahame na ashindwe la kufanya na kubaki mdomo wazi mbele ya watoto wake.


Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Google+

Related Posts: